KILA MWISHO WA WIKI kutakuwa na 'suala' la kujadiliwa na wadau wa DLM..!NASUBIRI MAPENDEKEZO TOKA KWENU KIPI TUKIJADILI WEEKEND HII.
POST UR COMMENT PLzz
Nionavyo mimi wiki hii tuongelee soka lo bongo nyumbani haswa kwa upande wa timu yetu ya taifa....ningeomba tujiulize umuhimu wa makocha wa kigeni,ni nini tunakitafuta toka kwao ambacho tunaona tutakikosa kwa mackocha wenyeji...hilo liambatane na kumbu kumbu za kocha Phiri aliefanya maajabu simba na matokeo mabovu ya timu za Africa kwenye world cup ambazo zilikuwa chini ya uangalizi wa makocha wa kigeni.....

ReplyDelete