ligi kuu bara imeendelea leo ktk kiwanja kimoja tu huko mjini m0rogoro,ilipokutanisha timu za yanga na kagera sugar..alikuw jerry tegete aliyoanza kuwanyanyua mashabiki wa timu hiyo..hadi dk90
kagera sugar0-2 Young african
tegete
boakye
waendeleza kuiweka yanga kileleni mwa ligi kuu ya vodacom tanzania
No comments:
Post a Comment