![]() |
jERSON mwana wa TEGETE aibuka kidedea na kuzima kelele za wana wa KIDEDEA baada ya kutimiza alichokiahidi kukifanya ktk mtanange huo wa kujenga heshima na kumbukumbu ktk soka la TANZANIA.Mimi binafsdi sikufurahishwa na mchezo baina wa timu hizo mbili ambao haukuwa na mvuto wa kujinasibu kuwa hawa ndo majogoo wa soka la BONGO ndo walokuwa wanaumana.....!!!Kituko kilikuwa pale KASEJA alipozuga na kukinasua kuwasalimia wachezaji wa Yanga wakati wa utambulisho.
DLM LINAWAPONGEZA WACHEZAJI,VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU YA YANGA KWA USHINDI WALOUPATA



..oii...mjitaje kabisa tujue mnashabikia wapi hapa bongo..az 4 me.. kama kinavyodumu chama tawala..daima adumu mnyama..
ReplyDeletepole sana mdau agnesiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,ndo ukubwa huooo
ReplyDelete