Monday, December 6, 2010

mDaU mPya DAWATINI...

Kwa niaba ya Chairman napenda kumtambulisha kwenu mdau mpya Ally Ngowo a.k.a big belle man humu dawatini; pasi shaka tayari mtakuwa mmeshamuona kwenye followers' list...

Mdau huyu ni mnazi wa Arsenal kama mimi (by the way tunaongoza ligi)...na ni mategemeo yangu kuwa uwepo wake humu dawatini utaongeza chachu ya ushabiki wa kisoka...

k.n.y Chairman

sAm (the Arsenalist)

No comments:

Post a Comment