Tuesday, September 28, 2010

AIBU AIBU,ulimboka akamatwa akimpelekea hongo golikipa wa mtibwa

simba yaingia ktk tafrani baada ya kiungo wa timu hiyo aliyetemwa ulimb0ka kudakwa alipokuw anampelekea h0ngo golikipa wa mtibwa shaban kado ili awafanyie wepesi leo golini,timu hizo zinakutana huko mjini m0rogoro ktk uwanja wa jamhuri.
Kado akielezea mkasa huo,alisema kuwa alipopigiwa simu na ulimb0ka akautaarifu uongozi wake wa mtibwa kuwa simba wanataka kumpa hela aachie lango.Hapo ndipo vi0ng0z wa mtibwa walipopanga mahala pakumkamatia na kufanikisha kuwatonya polisi kumkamata Uli..u0ngoz wa simba umeshamtoa uli polisi kwa dhamana.
Hii ni disaster kwa maendeleo ya soka letu la bongo ambalo ndo kwanza litajisogeza peupe.

2 comments:

  1. Kama dunia hii kuna mtu ataniambia kwamba mimi sio mzalendo kisa sipendi mpira wa nyumbani kwanza aanzie kunishawishi hili suala la Uli ni uongo alafu ndo nikubali shutuma.
    Hivi kweli mpaka karne hii wabongo tunatumia milungula kwenye kandanda?Hapa ndipo tunaona dhahiri kwamba kupata mchezaji aitwaye PROFESSIONAL bado ni mlima wa kupanda tena kigongo.Kama wenye timu wanafanya hivi,basi uozo huu unaathiri mpaka wachezaji wa timu.

    ReplyDelete
  2. tru dat mdau...
    for ril am speechless

    ReplyDelete