Thursday, November 4, 2010

UEFA LEG

CHELSEA yaendeleza ubabe kati kundi lake baada ya magoli ya Anelka,Drogba(pen) na Ivanovic akifunga mawili mechi iliyomalizika 4-1
ARSENAL yawakuta huko kwa Eduardo da Silva baada ya kudondokewa na Shakhtar 2-1 goli la pili na la ushindi likifungwa na former arsenal player Eduardo ambapo ilimbidi hata asishangilie.
Mjini Milan kulikuwa na kipute kilichokuwa kikisubiriwa na wadau wengi duniani kati ya AC MILAN vs MADRID mechi iliyoisha kwa matokeo ya 2-2 hongera zikimwendea Pedro Leone aliyesawazisha goli ktk muda wa nyongeza.Super People aliweka rekodi yake baada ya kumfikia Raul Gonzalez ambae sasa anakipiga na Stutgart kwa kufikisha magoli 70 ya uefa champions league

No comments:

Post a Comment